Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki ajitoa Timu ya Taifa ya Angola, ataka aitwe mchezaji mwenye kiwango

Helder Costa 67769170262a1a3b12242e Helder Costa

Mon, 18 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Angola, Helder Costa amegoma kujiunga na Kikosi cha timu ya Taifa ya Angola kilichotajwa kwenda kwenye Michuano ya AFCON mwezi January huku akitoa sababu ya kwamba hayupo kwenye kiwango Bora kwa sasa hivyo nafasi hio apewe mchezaji mwingine ambaye ameonesha Kiwango bora zaidi yake.

"Sijawa kwenye Kiwango bora Msimu huu (Hajacheza tangu Mwezi Oktoba kutokana na kutokuwa na timu) hivyo nafasi yangu ichukuliwe na Mchezaji aliye kwenye ubora"

Neno moja kwa Helder Costa tafadhali

Chanzo: www.tanzaniaweb.live