Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki afunga Hat-trick ya kwanza AFCON 2023

GEIqk6 XcAApcAA.jpeg Emilio Nsue

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Equatorial Guinea, Emilio Nsue mwenye umri wa miaka 34 amefunga Hat Trick ya kwanza katika AFCON hii

Mshambuliaji na Nahodha wa Equatorial Guinea ndio mchezaji mwenye umri mkubwa kufunga Hat Trick katika historia ya mashindano haya ya AFCON.

Nsue kwenye klabu yake anacheza beki wa kulia lakini timu yake ya Taifa anacheza mshambuliaji na anatupia kamabani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live