Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki Yanga atua DR Congo

Ninja Shaibu Aliyekuwa beki wa Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja'

Wed, 23 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa zamani wa Yanga na Dodoma Jiji Abdallah Shaibu "Ninja" amejiunga na klabu ya FC Lubumbashi inayoshiriki Ligi Kuu Nchini DR Congo baada ya kuachwa na Yanga.

Beki wa zamani wa Yanga na Dodoma Jiji Abdallah Shaibu "Ninja" amejiunga na klabu ya FC Lubumbashi inayoshiriki Ligi Kuu Nchini DR Congo baada ya kuachwa na Yanga. Katika dirisha hili la usajili FC Lubumbashi imeongeza wachezaji 9 kama maingizo mapya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live