Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki Yanga aigeukia Jamii

Bakari Mwamnyeto.jpeg Beki wa Yanga, Bakari Mwamnyeto atoa misaada kwa wahitaji

Sat, 18 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Yanga SC, beki Bakari Nondo Mwamnyeto ameunda taasisi yake ambayo leo imetoa misaada kwa watoto yatima na walemavu wa macho.

Tasisi hiyo inajulikana ka Mwamnyeto Foundation na beki huyo ndio muasisi.

"Tunamshukuru Mungu kuwatembelea watu wenye uhitaji katika jamii lengo ni kuwasaidia na kukidhi haja zao. Mungu alichotupa na sisi tunawapatia wenzetu hata kama ni kidogo, tunagawana nao," amesema Mwamnyeto aliyeongozana na rafiki yake na mchezaji mwenzake wa Yanga, Zawadi Mauya.

Tazama picha zaidi hapa chini;





Chanzo: www.tanzaniaweb.live