Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki Wydad Casablanca afariki Dunia

Oussama Falouh Wydad 1814772927 Large.jpeg Beki Wydad Casablanca afariki Dunia

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Wydad Casablanca Oussama Falouh amefariki Dunia baada ya kupata majeraha yaliyotokana na ajali ya gari aliyoipata wiki kadhaa zilizopita.

Nyota wa klabu ya Wydad Casablanca Oussama Falouh amefariki Dunia baada ya kupata majeraha yaliyotokana na ajali ya gari aliyoipata wiki kadhaa zilizopita. Oussama alikuwa akicheza eneo la Ulinzi, amefariki akiwa na umri wa miaka 24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live