Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki Simba Queens amtaja Mayele

Mayele X Densa Fatuma Issa ‘Fetty Densa’ na Mayele

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Fiston Mayele akionesha maajabu yake katika msimamo wa wafungaji waLigi Kuu Bara, inaonekana pia hayuko nyuma katika kuwaongoza vijana na kuwapa ushauri nini cha kufanya ili kufikia ndoto zao.

Kauli hiyo inathibitishwa na Mlizi wa Simba Fatuma Issa maarufu kama 'Fetty Densa'amapo amemzungumzia Mshambuliaji huyo akisema:

“Ni wachezaji wa timu mbalimbali ambao wanakuwa wananishauri kuhusu karia yangu, akiwemo na Mayele ambaye ni kinara wa mabao 15 ya Ligi Kuu Bara, huwa ananiambia kazi ya soka inatakiwa kujitoa na kutokukata tamaa;

“”Kuna wakati ananipongeza, pia ananishauri niwe mbunifu kwenye majukumu yangu na kunisisitiza mazoezi binafsi ni muhimu ili kuhakikisha kipaji changu kitazamwe ndani na nje.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live