Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki Man City azam kwenye penzi la staa huyu

Ruben Na Mpenzi Beki Man City azam kwenye penzi la staa huyu

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa ‘klabu’ Manchester City, Ruben Dias baada ya kuchana na mpenzi wake Arabe llaChi adaiwa kuwa kwenye mahusiano na muigizaji nyota kutoka nchini Ureno Daiela Melchior.

Inaelezwa kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa akimfuatilia kwa ukaribu star huyo siku za hivi karibuni kwa kumtumia ujumbe na ku-like picha za Daniela kupitia ukurasa wa Instangram. Hata hivyo wawili hao wamewahi kuonekana siku za hivi karibuni wakiwa pamoja katika sehemu tofauti nchini humo.

Daniela mwenye umri wa miaka 27 amewahi kuigiza filamu kama ‘Marvel’s Guardians of the’, The Suicide Squad’, ‘Road house’ na nyingine nyingi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live