Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki Man City apigwa chini na mkewe

Married Man City Star Kyle Walker Wife 1200x900 Mlinzi wa Man City, Kyle Walker na mkewe

Thu, 11 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mke wa mchezaji wa ‘klabu’ ya Manchester City Kyle Walker, Annie Kilner ametangaza kutengana na mume baada ya kudumu kwa miaka miwili kwenye ndoa.

Kwa mujibu wa The Sun News imeeleza kuwa mwanadada huyo ameamua kuachana na ‘beki’ huyo wa kulia, baada ya kugundua kuwa #Walker anamsaliti na wanawake wengine.

Wawili hao ambao walikuwa katika mahusiano kwa zaidi ya miaka 12 walifunga ndoa Disemba 2021 na kubahatika kupata watoto watatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live