Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki EPL atoa siri nzito ya Lionel Messi

Semedo X Messi Beki EPL atoa siri nzito ya Lionel Messi

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya wapigaji wazuri wa mipira iliyokufa ni mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina na Inter Miami ya Marekani Lionel Messi.

Messi amekuwa akifunga mara kwa mara magoli ya aina hiyo ya mipira iliyokufa (Free Kick)

Lakini kwa mujibu wa mlinzi wa timu ya taifa Ureno na klabu ya Wolves Nelson Semedo anasema wakati wakiwa wote Barcelona hakuwahi kumuona Messi alijifunza kupiga free kick, licha yakuwa ni miongoni mwa wapiga free kick wazuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live