Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki Coastal Union atua Azam FC kwa kitita cha Milioni 100

Lameck Lawi Lameck Elias Lawi

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa zinasema kuwa Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa mlinzi wa kati wa Coastal Union Lameck Elias Lawi kwa kandarasi ya miaka mitatu (3).

Taarifa zinasema kuwa Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa mlinzi wa kati wa Coastal Union Lameck Elias Lawi kwa kandarasi ya miaka mitatu (3). Lameck Lawi amekubali mkataba wa miaka mitatu kwa shilingi milioni mia moja (Tsh 100M).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live