Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bei ya Douglas Luiz Aston Villa wakomoa

Arteta With Douglas Luiz Bei ya Douglas Luiz Aston Villa wakomoa

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klab ya Aston Villa imeweka bei ya £110m kwa vilabu vinavyotaka kumsajili kiungo wake Douglas Luiz.

Klab ya Aston Villa imeweka bei ya £110m kwa vilabu vinavyotaka kumsajili kiungo wake Douglas Luiz. Mikel Arteta anavutiwa na kiungo huyo na anafanya jitihada kumvuta Emirates lakini kwa bei hiyo dili hilo linaweza lisifanyike.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live