Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bei kukwamisha uhamisho wa Sancho Januari

Jadon Sancho Bei kukwamisha uhamisho wa Sancho Januari

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United haitaki kumuachilia Jadon Sancho kwa bei ya kutupa ifikapo mwezi Januari huku Muingereza huyo akiwa yuko mbioni kuondoka baada ya kubwatuana na kocha Erik Ten Hag.

Klabu ya Manchester United haitaki kumuachilia Jadon Sancho kwa bei ya kutupa ifikapo mwezi Januari huku Muingereza huyo akiwa yuko mbioni kuondoka baada ya kubwatuana na kocha Erik Ten Hag. Juventus wanamtaka kwa mkopo huku baadhi ya vilabu vya Saudi Arabia navyo vikiripotiwa kuwania saini yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live