Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern yakuna kichwa mbadala wa Nagelsman

Julian Nagelsmann Race Julian Nagelsmann

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Bayern Munich italazimika kutafuta kocha mwingine baada ya kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Julian Nagelsmann kuongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuifundisha timu ya Ujerumani mpaka kwenye kombe la dunia 2026

Klabu ya Bayern Munich italazimika kutafuta kocha mwingine baada ya kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Julian Nagelsmann kuongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuifundisha timu ya Ujerumani mpaka kwenye kombe la dunia 2026 Nagelsmann mwenye miaka 36 alikuwa anahusishwa kurejea Bayern Munich baada ya Euro 2024 Kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel ambaye ataondoka Allianz Arena mwishoni mwa msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live