Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern yafukuzia rekodi ya Yanga

Bayern X Yanga Bayern yafukuzia rekodi ya Yanga

Thu, 8 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaambiwa klabu inayoongoza ligi kuu nchini Ujerumani “Bundesliga” Bayer Leverkusen ipo mbioni kuweka rekodi kama iliyowekwa na klabu ya Yanga ya "Unbeaten" ya kutopoteza michezo 49 ya ligi kuu, ambapo Bayer Leverkusen mpaka hivi sasa tayari wamefikisha michezo 30 bila kupoteza, na hapo jana waliwafunga Vfb Stuttgart 3-2 na kutinga nusu fainali ya DFB-Pokal.

Leverkusen inayonolewa na kocha Xabi Alonso wamekuwa na msimu mzuri na ndio timu ya pekee kwenye ligi tano bora Barani Ulaya ambayo haijapoteza mchezo wowote msimu wa 2023-24.

Je, unadhani Bayer Leverkusen wataweza kuvunja rekodi ya Yanga ya Unbeaten michezo 49?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live