Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern yaendeleza ubabe mbele ya Barca

Bayern VS Barca Bayern yaendeleza ubabe mbele ya Barca

Wed, 14 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wababe wa Bundasliga,Bayern Munich imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa Kundi C Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich.

Wababe wa Bundasliga,Bayern Munich imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa Kundi C Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich. Mabao ya Bayern Munich yamefungwa na Lucas Hernandez dakika ya 50 na Leroy Sane dakika ya 54, siku ambayo mshambuliaji Robert Lewandowski alishindwa kutamba mbele ya timu yake ya zamani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live