Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern wamtambulisha Kiungo Mtanzania

Irankunda 271774 Nestory Irankunda

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Bayern Munich ya vijana kupitia ukurasa wake wa instagram wa FC Bayern Campus imemtambulisha kiungo mshambuliaji nyota mzaliwa wa Kigoma Tanzania Nestory Irankunda mwenye uraia wa Australia pia kujiunga na kikosi hicho.

Klabu ya Bayern Munich ya vijana kupitia ukurasa wake wa instagram wa FC Bayern Campus imemtambulisha kiungo mshambuliaji nyota mzaliwa wa Kigoma Tanzania Nestory Irankunda mwenye uraia wa Australia pia kujiunga na kikosi hicho. Irankunda ataanza kuitumikia klabu ya vijana ya Bayern Munich kabla ya kujiunga na kikosi cha wakubwa kama uwezo wake ukiendelea kuwa mkubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live