Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern walivyojichanganya kwa Harry Kane

Harry Kane Germany Harry Kane

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hapa FC Bayern Wameyatimba, kwenye mkataba wa Harry Kane kuna kipengele kimoja iwapo Harry Kane atakuwa amefikisha mchango wa mabao 40 msimu huu katika mashindano yote atapokea malipo ya bonasi kiasi cha €250,000 sawa na Tsh 677.3M.

Tayari amehusika na mabao 28 mpaka sasa na ndio kwamza Novemba, Elewa kenywe mchango huo wa mabao unajumuisha Magoli pamoja na Asissts.

Bundesliga Mabao 17 + Assists 5, Uefa Champions League Mabao 4 + Assists 2.

Hapa FC Bayern Wameyatimba Ni Hesabu Ndogo Sana Kwa Harry Kane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live