Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern waipiga chini ofa ya Man united kwa Benjamin Pavard

IMG 5359.jpeg Benjamin Pavard

Sun, 13 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Bayern Munich imekataa ofa ya kwanza ya Man United kutaka kumsajili beki wao raia wa Ufaransa Benjamin Pavard.

Klabu ya Bayern Munich imekataa ofa ya kwanza ya Man United kutaka kumsajili beki wao raia wa Ufaransa Benjamin Pavard. United wameonesha nia ya kumtaka beki huyo katika kikosi chao kuelekea msimu ujao 2023/24, je watakwenda kuboresha ofa yao?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live