Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern wachapwa na Timu ya Daraja la tatu Ujerumani

Bayern Lost 3 Bayern wachapwa na Timu ya Daraja la tatu Ujerumani

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bayern Munich wametolewa kwenye Kombe la FA la Ujerumani (DfB Pokal) na timu ya daraja la tatu, Saarbruecken.

Thomas Muller alianza kuifingia Bayern Munich dakika ya 16 lakini dakika ya 45+1 jamaa wakasawazisha kupitia kwa Patrick Sontheimer.

Dakika 90+6 wakaweka chuma cha pili na kupitia Marcel Gaus

Mwaka 2020 hawa jamaa wakiwa daraja la nne waliwatoa Fortuna Dusedolf kwenye mashindano haya haya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live