Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern wabeba Ubingwa Bundasliga dakika za lala salama

Bayern Dakika Za Lala Salama Bayern wabeba Ubingwa Bundasliga dakika za lala salama

Mon, 29 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Bayern Munich imetwaa ubingwa wa Ligi kuu Ujerumani (Bundesliga) kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya FC Cologne na kuipokonya Borussia Dortmund tonge mdomoni.

Dortmund iliyokuwa kinara wa Bundesliga kabla ya mechi za leo imelazimishwa sare ya 2-2 dhidi ya Mainz na kupoteza nafasi ya kubeba ndoo.

Dortmund 2-2 Mainz Cologne 1-2 Bayern

Msimamo wa Bundasliga Timu mbili za juu

Bayern - Mechi 34 - alama 71 (+54)

Dortmund - Mechi 34 - alama 71 (+39)

Bayern Munich imetwaa ubingwa kwa faida ya utofauti mkubwa wa magoli (goal difference) dhidi ya Dortmund.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live