Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern waanza kutembeza "Thank You"

GNZaBHBXIAAjqVI Choupo Moting

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya msimu kumalizika wakiwa katika nafasi ya tatu ,Klabu ya Bayern imeanza kuwaaga wachezaji ambao hawatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu ujao .

Tayari wameachana na mlinzi raia wa Senegal Bouna Sarr pamoja na mshambuliaji raia wa Cameroon Choupo Moting

Menejimenti ya Bayern ipo kwenye mazungumzo ya kuendela kuachana na baadhi ya wachezaji ambao ,mchango wao klabuni hapo umekuwa mdogo kwa siku za karibuni hivyo usishangae baadhi ya wachezaji ukisikia nao pia wametemwa siku za usoni

Chanzo: www.tanzaniaweb.live