Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern kumpa Jamal Musiala Mkataba mrefu

Jamal Musiala Kinda wa Bayern Munich, Jamal Musiala

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Bayern München ipo katika harakati za kuhakikisha wanamuongezea mkataba wa miaka miatano kinda Jamal Musiala aliyeonesha nia ya kutaka kuondoka klabuni hapo mkataba wake wa Sasa utakapotamatika mwaka 2026.

Klabu ya Bayern München ipo katika harakati za kuhakikisha wanamuongezea mkataba wa miaka miatano kinda Jamal Musiala aliyeonesha nia ya kutaka kuondoka klabuni hapo mkataba wake wa Sasa utakapotamatika mwaka 2026. Manchester City,Madrid na Liverpool ni miongoni mwa Klabu zenye nia ya kumsajili Jamal.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live