Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern kuifanyia umafia Arsenal

Granit Xhaka Jj Bayern kuifanyia umafia Arsenal

Tue, 30 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Endapo Arsenal itachelewa kuwasilisha ofa yao kwa West Ham, huenda ikala kwao, imeripotiwa Bayern Munchen wameandaa pauni milioni 95 kumnasa kiungo Declane Rice.

Arsenal inataka kuimarisha eneo la kiungo ambapo Granit Xhaka imethibishwa kuwa atajiunga na Bayer Leverkusen.

Daily Mail wameripoti kuwa Arsenal imepeleka pauni milioni 90 kumnasa Rice ambaye pia kwa mujibu wa mtandao huo anawindwa na Man United.

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amesema amedhamiria kufanya maboresho kwenye baadhi ya maeneo, lakini pia lazima baadhi ya wachezaji wauzwe kukamilisha hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: