Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern Munich waweka ngumu kwa Jamal Musiala

Jamal Musiala Kinda wa Bayern Munich, Jamal Musiala

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya FC Bayern ya Ujerumani haina nia ya kumuuza mshambuliaji wao raia wa Ujerumani Jamal Musiala na wanatayarisha kutoa ofa nono kwenye mkataba mpya kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21.

Klabu ya FC Bayern ya Ujerumani haina nia ya kumuuza mshambuliaji wao raia wa Ujerumani Jamal Musiala na wanatayarisha kutoa ofa nono kwenye mkataba mpya kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21. Manchester City ndoto zao zinataka kuzimwa, kwani wameonekana kuvutiwa na kinda huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live