Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern Leverkusen wapokea kichapo kizito Fainali Uropa

Leverkusen Beaten Bayern Leverkusen wapokea kichapo kizito Fainali Uropa

Thu, 23 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Atalanta imetwaa ubingwa wa Ligi ya Europa baada ya kukomesha rekodi ya Ulaya ya kutopoteza (unbeaten) 51 iliyokuwa ikishikiliwa na Bayer Leverkusen kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Mabingwa hao wa Bundesliga katika dimba la Aviva, Dublin

Mabao ya Atalanta katika mchezo huo uliopigwa jana Mei 22, yamefungwa na Ademola Lookman 12’26’ na 75’.

Matumaini ya Xabi Alonso na vijana wake ya kutwaa makombe matatu (treble) yamefikia ukomo baada ya kukubali kichapo cha kwanza cha msimu huku Mnigeria Ademola Lookman akifunga hat-trick ya kwanza kwenye fainali ya Ligi ya Europa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live