Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayern, Barcelona kwenye vita ya kumuwania Silva

Bernado Silva Bernad Bernado Silva

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa klabu ya Barcelona ya nchini Hispania, Xavi, ameiambia klabu hiyo kwamba anatamani kufanya kazi na kiungo wa kati wa Manchester City na Ureno Bernardo Silva na hivyo wajipange kumletea.

Kocha wa klabu ya Barcelona ya nchini Hispania, Xavi, ameiambia klabu hiyo kwamba anatamani kufanya kazi na kiungo wa kati wa Manchester City na Ureno Bernardo Silva na hivyo wajipange kumletea. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 pia anawaniwa na Bayern Munich.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live