Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bayer Leverkusen: Unbeaten 42 na makombe juu

Bayer 04 Leverkusen Aw Bayer 04 Leverkusen.

Fri, 12 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Xabi Alonso ameiongoza Klabu ya Bayer 04 Leverkusen ndani ya msimu huu kufikisha unbeaten 42 kwenye mashindano yote inayoshiriki [Bundesliga, DFB Pokal, UEFA Europa League].

Ana mchezo mmoja wa DFB Pokal ambao ni fainali ,kwenye Europa league Mchezo wa robo fainali ya kwanza dhidi ya West Ham United ameshinda mabao 2-0 akiwa katanguliza mguu mmoja nusu fainali na kwenye Ligi akishinda game ijayo atatangaza ubingwa.

Bayer Leverkusen ya Xabi Alonso:

◉ 42 mechi

◉ 37 ushindi

◉ 5 droo

◉ 0 kufungwa

◉ 118 magoli ya kufunga

◉ 31 magoli ya kufungwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live