Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barnes: Liverpool ya Slot haina tofauti na Klopp

Skysports Barnes Slot Liverpool 6679598 Barnes: Liverpool ya Slot haina tofauti na Klopp

Tue, 10 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa gwiji wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza John Barnes ametoa tathmini yake kuhusu utofauti wa Liverpool chini ya kocha mpya Arne Slot na ile ya kocha aliyepita Jurgen Klopp na kusema hawana tofauti kubwa kimbinu.

"Niliwaona kuanzia Pre-Season kule Marekani falsafa za kimbinu hazjabadilika hasa kwenye aina ya soka la kuzuia kwa presha kubwa na nyakati za mashambulizi ya kujibu wapo sawa sana, kidogo alichokiobadili ni timu kumiliki mpira zaidi" alisema Barnes.

Liverpool hadi sasa imecheza michezo mitatu ya ligi kuu Uingereza, ikishinda yote na kujikusanyia alama 9 wakiwa sawa na Manchester City ambao wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi kwa tofauti ya magoli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live