Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barella aongeza Mkataba inter, utamueka mpaka Juni 2026

Nicollo Barella Kiungo wa Inter Milan, Nikolo' Barella

Fri, 5 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa Inter Milan, Nicolo' Barella, amesaini mkataba utakaomuweka klabuni hapo mpaka Juni 2026.

Barella ambae aliwindwa sana na vilabu vikubwa barani Ulaya katika dirisha la usajili lilopita, anatarajiwa kukunja kiasi cha Euro milioni tano kama mshahara wake.

Barella ameshinda Kombe la Euro mwaka huu akiwa na kikosi cha Italia na ameonyesha kiwango bora ambacho kilisababisha vigogo kadhaa kumuwania.

Barella vile vile anapendekezwa kuwa Nahodha wa Inter Milan msimu ujao wa 2022/2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live