Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona yamfutia Alves hadhi ya "Gwiji"

Dani Alves Legend Status Barcelona yamfutia Alves hadhi ya "Gwiji"

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya FC Barcelona imemuondoa Dani Alves kwenye orodha ya ‘legend’ (Magwiji) wa klabu hiyo.

Klabu hiyo ilikuwa ikisubiri hukumu ya mahakama na sasa imefanya uamuzi juu ya jina la mchezaji huyo.

Alves alikutwa na hatia ya ubakaji na Alhamis ya wiki iliyopita alihukumiwa miaka minne na nusu jela.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live