Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona yabeba Ligi ya Mabingwa Ulaya

Barcelona Wabeba Ubingwa UEFA Barcelona yabeba Ligi ya Mabingwa Ulaya

Sun, 26 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Wanawake ya Barcelona imetwaa kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa Wanawake kufuatia ushindi wa dhidi ya Olympique Lyon kwenye fainali.

Mabao ya Barcelona katika mchezo huo yamefungwa na Aitana Bonmatí - 63’na Alexia Putellas - 90’+5.

Barcelona imetwaa ubingwa huo kwa msimu wa pili mfululizo baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Vfl Wolfsburg kwenye fainali ya msimu uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live