Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona wapokea kichapo La Liga

Barca Lewandowski Barcelona wapokea kichapo La Liga

Mon, 27 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Barcelona imepokea kichapo cha 1-0 dhidi ya Almeria inayoshika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Laliga. Hiki ni kipigo cha pili kwa Barcelona kwenye Ligi kuu Uhispania.

Barcelona imepokea kichapo cha 1-0 dhidi ya Almeria inayoshika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Laliga. Hiki ni kipigo cha pili kwa Barcelona kwenye Ligi kuu Uhispania. Barcelona bado inaendelea kusalia kileleni alama 59 baada ya mechi 23 ikiwa ni alama 7 zaidi ya Bingwa mtetezi Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live