Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona wapambana kumbakisha Pau Cubarsi

Pau Cubarsi Barca Pau Cubarsi

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Barcelona wanaripotiwa kufanyia kazi mkataba mpya wa Pau Cubarsi huku kukiwa na madai kwamba Manchester United wanataka kumpeleka beki huyo wa kati kwenye ligi ya Uingereza.

Cubarsi, mwenye umri wa miaka 17, amekuwa akiichezea Barcelona tangu Januari, akiwa ameshacheza mechi 13 na wababe hao wa Catalanya mwaka huu, huku akiichezea Uhispania kwa mara ya kwanza dhidi ya Colombia Ijumaa usiku.

Beki huyo wa kati ana mkataba Camp Nou hadi Juni 2026, inaaminika kuwa kipengele chake cha kuachiliwa ni karibu pauni milioni 8.5, lakini hawezi kusaini 'professional deal' mpaka atakapofikisha umri wa miaka 18 mwaka ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live