Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona wamtaka Mitoma

Kaoru Mitoma Kaoru Mitoma

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Barcelona inayoshikiri ligi kuu ya Hispania imeonyesha nia ya kumsajili winga wa kimataifa wa Japan na klabu ya Brighton Kaoru Mitoma.

Klabu ya Barcelona inayoshikiri ligi kuu ya Hispania imeonyesha nia ya kumsajili winga wa kimataifa wa Japan na klabu ya Brighton Kaoru Mitoma. Mitoma ambaye amekuwa na kiwango bora sana tangu msimu uliopita akiwa na kikosi cha Brighton timu nyingi zimeonyesha nia kubwa ya kumsajili lakini kwa sasa Barcelona wapo mstari wa mbele kutaka kumsajili winga huyo wa kimataifa wa Japan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live