Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona wamng'ang'ania Sergio Busquets

Sergio Bosquets Barca Sergio Busquets

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Barcelona imempa ofa ya mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine kiungo Sergio Busquets, 34, ili kumzuia asiondoke dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

Barcelona imempa ofa ya mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine kiungo Sergio Busquets, 34, ili kumzuia asiondoke dirisha lijalo la majira ya kiangazi. Inadaiwa Busquets amepokea ofa nyingi kutoka Marekani na Saudi Arabia na ndizo zinamfanya afikiri kwanza kabla ya kufanya uamuzi wa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia Nou Camp.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live