Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona wakumbana na Rungu la UEFA

Barca Fans Barcelona wakumbana na Rungu la UEFA

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Barcelona imepigwa faini ya UEFA kiasi cha Euro 25,000 na imepigwa marufuku ya kuuza tiketi ya mechi moja kwa mashabiki wa ugenini kwenye mashindano ya UEFA kwa "Tabia ya kibaguzi" waliyofanya mashabiki kwenye mchezo dhidi Paris Saint German.

Klabu ya Barcelona imepigwa faini ya UEFA kiasi cha Euro 25,000 na imepigwa marufuku ya kuuza tiketi ya mechi moja kwa mashabiki wa ugenini kwenye mashindano ya UEFA kwa "Tabia ya kibaguzi" waliyofanya mashabiki kwenye mchezo dhidi Paris Saint German. Adhabu hii wataitumikia msimu ujao wa 2024-25.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live