Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona wachimba mkwara mzito kwa Mastaa wake

Barcelona Stars.jpeg Barcelona wachimba mkwara mzito kwa Mastaa wake

Sat, 15 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

FC Barcelona hawatasikiliza ofa yoyote juu ya wachezaji hawa katika dirisha la usajili la majira ya joto, maana hawauzwi.

Ter Stegen, Araujo, Koundé, Christensen, Balde, Frenkie, Gavi, Pedri, Dembélé & Lewandowski.

Kocha wa Barcelona na Staa wa zamani wa timu hiyo Xavi Hernandez ni kama anatengeneza project mpya kupitia nyota hao.

Kwa maana hiyo kitendo cha kuwauza ni kurudisha nyuma mipango ya kukisuka kikosi chake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live