Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona waandika rekodi hii UEFA

W640xh480 GettyImages 2079052742 Barcelona waandika rekodi hii UEFA

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Barcelona imekua timu ya kwanza katika historia ya Ligi ya Mabingwa kuanzisha wachezaji 2 wachanga wenye umri wa miaka 17 kushuka chini katika mchezo wa hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa.

Lamine Yamal miaka 16

Pau Cubarsí miaka 17

Katika mchezo huo Barcelona iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 na hivyo kusonga kwa hatua ya Robo Fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live