Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona mipango kwa Salah

Sala El Ghaly Winga wa Liverpool, Mohammed Salah

Sat, 26 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Barcelona wameanza kuangalia uwezekano wa kumsaajili mshambuliaji wa klabu ya Liverpool kwenye majira ya kiangazi ili kuweza kuongeza nguvu kwenye klabu hiyo.

Mo Salah miezi ya hivi karibuni amehusishwa zaidi na klabu Paris Saint-Germain na Real Madrid, baada ya kutokea kwa sintofahamu kuhusu mazungumzo ya mkataba mpya ambao klabu ya Liverpool walimuandalia kuukataa.

Mkataba wa sasa wa Salah unaisha majira ya kiangazi 2023, na inatarajiwa kuwa klabu ya Liverpool itamuweka sokoni ikiwa atakatta mkataba mpya kabla ya kuaza kwa msimu mpya ili kuepuka kumpoteza bure.

Sasa tetesi zimeongezeka zaidi zikidai kuwa klabu ya Barcelona wameanza kufanya jitihada za kumshawishi salah kuweza kujiunga na klabu hiyo kwenye majira ya kiangazi.

Baada ya kuwa na mwanzo mbovu klabu ya Barcelona msimu huu unaolekea kuisha, sasa waneanza kupanga mipango ya msimu ujao, na kutaka kufanya uwekezaji mkubwa kwenye usajiri wa wachezaji licha ya kuwa kwenye ukomo wa matumizi ya pes

Chanzo: www.tanzaniaweb.live