Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona kumpiga bei Ansu Fati mazima

Brighton Na Ansu Fati Ansu Fati

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imeripotiwa Kuwa Klabu ya Barcelona inaweza kumuuza moja kwa moja kinda wao Ansu Fati katika majira yajayo ya kiangazi kwa klabu itakayo hitaji huduma ya kijana huyo ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo ndani ya klab ya Brighton ya uingereza.

Imeripotiwa Kuwa Klabu ya Barcelona inaweza kumuuza moja kwa moja kinda wao Ansu Fati katika majira yajayo ya kiangazi kwa klabu itakayo hitaji huduma ya kijana huyo ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo ndani ya klab ya Brighton ya uingereza. Kwa sasa Ansu Fati hayupo katika mpango endelevu wa kocha Xavi Hernandez ambaye ndiye kocha mkuu wa Fc Barcelona ndio maana uongozi unataka kumuuza jumla.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live