Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona kukata kiu ya Joao Felix

Skysports Joao Felix Atletico 6011921 Joao Felix

Wed, 30 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Fc Barcelona inatarajia kuanza mchakato wa kumsajili Joao Felix masaa machache yajayo ambaye mara kadhaa amekuwa akiripotiwa kuwa ndoto yake ni kuitumikia klabu hiyo.

Klabu ya Fc Barcelona inatarajia kuanza mchakato wa kumsajili Joao Felix masaa machache yajayo ambaye mara kadhaa amekuwa akiripotiwa kuwa ndoto yake ni kuitumikia klabu hiyo. Kwa sasa Bodi ya Barcelona inashughulikia suala la Financial Fair Play, hivyo wakimaliza watatua kwa Felix.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live