Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona kichwa chini Italia, wachapwa na Inter

Inter Milan Vs Barc Inter Milan

Wed, 5 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la Hakan Calhanoglu dakika ya 45 na ushei limeipa Inter Milán ushindi wa 1-0 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa Kundi C usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan.

Bao pekee la Hakan Calhanoglu dakika ya 45 na ushei limeipa Inter Milán ushindi wa 1-0 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa Kundi C usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan. Kwa matokeo hayo, Inter Milan wanafikisha pointi sita na kusogea nafasi ya pili, wakizidiwa pointi tatu na Bayern Munich, wakati Barcelona inabaki na pointi zake tatu nafasi ya tatu baada ya wote kucheza mechi tatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live