Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barca kumshtaki De Jong

Frenkie De Jong FC Barcelona Frankie de Jong

Wed, 10 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Barcelona itamfungulia mashtaka Frankie de Jong, kutokana na makosa ya yaliyojitokeza kwenye mkataba wake wa awali.

Miamba hiyo itaanza taratibu za kisheria ili kuutazama upya uhalali wa mkataba huyo kwa mujibu wa ripoti.

Imeelezwa Barcelona ilipiatia mkataba wa De Jong na kugundua kuna maghumashi, huku ikimuonya kiungo huyo anayewindwa Man United dirisha hili.

Mpaka sasa haijafahamika endapo De Jong atabaki Camp Nou kwani Man United na Barcelona, zilifikia makubaliano ya ada yake ya Uhamisho Euro 85 milioni, ambayo italipwa kwa awamu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live