Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barbara mguu mmoja ndani ya Simba

Harmonize Barbara Ms Barbara mguu mmoja ndani ya Simba

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyewahi kuwa CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez atafurahi kurejea tena ndani ya Klabu hiyo lakini iko nje ya mikono wake kwa sasa. Nafasi yake ya kurejea iko asilimia 50% tu katika hatua hii.

Mwekezaji wa Simba, Mo Dewji anatakiwa kurekebisha mambo mengi na pia kufanya mabadiliko kwenye bodi mwishoni mwa msimu kabla ya kurejea.

Barbara aliweka wazi, hatoweza kufanya kazi katika klabu nyingine yoyote Tanzania kwa sababu ya mapenzi yake kwa Simba.

Pia, mipango ya usajili na wachezaji ambao wataondoka mwishoni mwa msimu imezuiliwa kwa sasa. Hakuna mchezaji mpya aliyesajiliwa, aliyethibitishwa.

Mo Dewji kutoka mkutano uliopita atairuhusu bodi hii kumaliza msimu kwa nguvu na kukutana tena kuchukua maamuzi.

Mo aliahidi kufanya kila linalowezekana kuirudisha Simba kwenye ubora wake tena kuanzia msimu ujao.

Je Barbara atarejea Msimbazi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live