Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barbara Banda aweka rekodi ya Dunia

Barbara Banda N Barbara Banda.

Sat, 9 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota raia wa Zambia, Barbara Banda ameweka rekodi ya kuwa nambali mbili katika orodha ya wachezaji ghali wa kike ulimwenguni

Kwa Mujibu wa transfer market nahodha huyo wa Zambia amefikia rekodi hiyo baada ya kukamilika Kwa uhamisho wake kutoka Shanghai Shengii ya China kwenda Orlando Pride ya USA Kwa ada ya $ 780,000 ambayo ni sawa na Bilioni 1.9 kwa pesa ya Tanzania

Kinara huyo wa Copper Queens alikuwa ni mchezaji wa kwanza kufunga hat trick katika Olympic ya Tokyo Japan na kumuongezea thamani zaidi mpaka kuhitajika na klabu ya Shanghai

Anayeshika nafasi ya kwanza katika orodha ya wachezaji ghali wanawake ni Mshambuliaji wa Chelsea Mayra Ramirez baada ya kukamilisha usajili wake mwezi Januari kutokea Levante.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live