Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baraka Kiziguto ateuliwa kuwa mratibu mechi ya Jwaneng dhidi ya Wydad

Baraka Kiziguto Ateuliwa Kuwa Mratibu Mechi Ya Jwaneng Dhidi Ya Wydad.jpeg Baraka Kiziguto ateuliwa kuwa mratibu mechi ya Jwaneng dhidi ya Wydad

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja Mashindano TFF, Baraka Kizuguto ameteuliwa na CAF kuwa Mratibu (General Coordinator) wa mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jwaneng Galaxy (Botswana) vs Wydad AC (Morocco) utakaochezwa Februari 24, 2024.

Meneja Mashindano TFF, Baraka Kizuguto ameteuliwa na CAF kuwa Mratibu (General Coordinator) wa mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jwaneng Galaxy (Botswana) vs Wydad AC (Morocco) utakaochezwa Februari 24, 2024. Mchezo hup ni wa kundi B ambalo pia yupo mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano hayo, Simba SC ambaye siku hiyo naye atakuwa akikipiga na ASEC Mimosas Februari 23,2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live