Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bao la Mama sasa Tsh milioni 10

Ndumbaro Simba Bao La Mama Scaled.jpeg Bao la Mama sasa Tsh milioni 10

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amethibitisha kuwa bao la Mama ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan) limepanda kiwango kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF).

Waziri Ndumbaro alisema kiwango cha pesa kimepanda kutoka Sh. Milioni Tano katika hatua ya makundi hadi Sh. Mil 10 katika hatua ya Robo Fainali.

Rais Samia amekuwa na utaratibu wa kutoa pesa kwa timu za Simba SC, Yanga SC Taifa Stars ili kuongeza hamasa katika michezo yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live