Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bao la Decline Rice laweka rekodi Arsenal vs Man United

Decline Rice Goal Bao la Decline Rice laweka rekodi Arsenal vs Man United

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la Declan Rice katika dakika ya 95 na sekunde ya 43 (95:43) ndio bao la ushindi la dakika za ‘jioni’ zaidi kwenye mechi za Ligi Kuu England kati ya Arsenal na Manchester United.

Bao la Declan Rice katika dakika ya 95 na sekunde ya 43 (95:43) ndio bao la ushindi la dakika za ‘jioni’ zaidi kwenye mechi za Ligi Kuu England kati ya Arsenal na Manchester United. Katika Mechi hiyo iliyopigwa wikiendi iliyopita Arsenal waliibuka na ushindi wa bao 3-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live