Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bangala asepa kwao Congo

Bangala Yanga2.jpeg Yanick Bangala

Sun, 15 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vinara wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Yanga SC watamkosa kiungo wao Yannick Bangala kwenye mchezo wa Ligi kuu leo dhidi ya Dodoma Jiji baada ya mchezaji huyo kufiwa na kaka yake.

Vinara wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Yanga SC watamkosa kiungo wao Yannick Bangala kwenye mchezo wa Ligi kuu leo dhidi ya Dodoma Jiji baada ya mchezaji huyo kufiwa na kaka yake. Na kocha wa klabu hiyo Nasreddine Nabi ametuma salama za pole kwenda kwa mchezaji huyo kwa niaba ya benchi la ufundi na wachezaji wote wa Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live