Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bangala akiri Azam FC kupitia wakati mgumu

Yanick Bangala Azam Fsg Bangala akiri Azam FC kupitia wakati mgumu

Thu, 29 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kazi wa Azam FC, Yannick Bangala raia wa Congo DR amethibitisha kuwa timu yao imepata changamoto kwenye ligi ya mabingwa lakini anaamini timu hiyo imepata experience.

Bangala ambaye amewahi kuitumikia Yanga kwa misimu miwili amekiri hayo baada ya Azam kuondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na APR ya Rwanda katika hatua za awali kisha jana ikatoa sare ya bila kufungana na JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

“Ligi ya mabingwa tumepata shida kidogo tumepoteza lakini tunapata experience na tunafanya kazi kwenye ligi hii ili nsimu ujao tushiriki Champions League. Hii mara ya kwanza tunapata experience na msimu ujao tutafanya vizuri.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: